Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wafanyakazi walemaza shughuli JKIA

  • | Citizen TV
    3,400 views
    Duration: 2:56
    Wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa siku ya pili waliendelea kuhangaika kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege. Wasafiri wengi walilazimika kulala katika uwanja huo tangu jana, huku mahangaiko yao yakizidishwa na mvua iliyonyesha usiku kucha hapa jijini Nairobi. Ben Kirui anaarifu kuhusu mgomo huu uliolamaza shughuli.