- 651 viewsDuration: 3:11Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini umeingia siku ya tano hii leo huku masomo yakiendelea kutatizika katika vyuo vingi vya umma. Baadhi ya wanafunzi sasa wakilalamikia kupoteza muda haswa kwa wale wanaojiandaa kwa mitihani ya mwisho.