Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahudumu wa afya Embu

  • | Citizen TV
    158 views
    Duration: 1:33
    Wahudumu wa afya walalamikia kucheleweshewa kwa mishahara na hivyo kushindwa kukithi mahitaji yao ya kila siku. kwa mujibu wa chama cha wauguzi tawi la embu Macharia Kanderi , uongozi wa kaunti ya embu ulipuuza makataa ya mgomo ya siku saba waliyotangaza.