20 May 2026 10:22 am | Citizen TV 527 views Duration: 2:03 Mgomo wa Maafisa tabibu wa kaunti ya Kwale waingia siku ya saba , huku wakishinikiza serikali ya kaunti hiyo kutekeleza matakwa sita watakayo yashughulikiwe kabla ya kurudi kazini.