- 278 viewsDuration: 3:04Huduma za afya katika hospitali mbalimbali za umma nchini zimetatizika kufuatia mgomo wa wahudumu wa afya. Katika Hospitali Kuu ya Kenyatta, huduma zimetatizika baada ya wauguzi kuanza mgomo wao rasmi hii leo wakilalamikia kutotekelezwa kwa mkataba wa maelewano wa mwaka 2025–2029. Katika Kaunti ya Mombasa, kina mama waliojifungua ni miongoni mwa wale waliothirika na mgomo huu.