- 560 viewsDuration: 3:02Wagonjwa wanaotafuta huduma za matibabu katika hospitali za umma wameendelea kuhangaika huku mgomo wa wauguzi ukiendelea kwa siku ya 37 hii leo. Katika baadhi ya hospitali, wagonjwa walilazimika kusalia na maumivu huku wengine watafuta huduma mbadala. Wahudumu wa afya sasa wakidai kuwa kina mama 75 na zaidi ya watoto 500 wamefariki kwenye mwezi huu wa mgomo