Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wauguzi wafikisha siku 41

  • | Citizen TV
    681 views
    Duration: 2:58
    Mgomo wa wauguzi umeingia siku ya 41 huku shinikizo likiongezeka kwa serikali kuingilia kati mvutano kati ya serikali za kaunti na wauguzi. Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli, sasa anataka usimamizi wa huduma za afya kurejeshwa kwa serikali kuu. Wakati huo huo, wagonjwa wanaotafuta matibabu katika hospitali za umma wameendelea kuhangaika kutokana na ukosefu wa huduma za wauguzi.