Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wauguzi waingia siku ya 15 huku makubaliano yakisubiri utekelezaji

  • | Citizen TV
    287 views
    Duration: 1:11
    Mgomo wa wauguzi umeingia siku ya 15 huku wahudumu hao wakisisitiza kuwa hawatarejea kazini hadi Makubaliano yao na serikali za kaunti, pamoja na mkataba wa Kurejea Kazini yatekelezwe.