Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wauguzi waingia siku ya 42 huku wagonjwa wakikosa huduma

  • | Citizen TV
    701 views
    Duration: 3:01
    Mgomo wa wauguzi umeingia siku ya 42 huku serikali ikihimizwa kuingilia kati kutatua mvutano huo. Atwoli ameitaka serikali kuhakikisha huduma za afya zinarejeshwa katika hospitali za umma.