4 Aug 2026 1:21 pm | Citizen TV 100 views Duration: 1:40 Wagonjwa katika kaunti ya Migori wamelazimika kutafuta huduma za afya katika vituo vya afya vya kibinafsi wakati mgomo ukiendelea wa wauguzi katika hospitali za umma.