- 390 viewsDuration: 2:52Katika hospitali za umma kote nchini, wagonjwa wanarejeshwa nyumbani au kulazimika kutafuta huduma katika hospitali za kibinafsi kufuatia mgomo wa wauguzi unaoendela. Lakini kwa wanaohitaji huduma maalum kama vile usafishaji wa damu, matibabu ya saratani na huduma kwa watoto wachanga, huenda wasiwe na njia nyingine ili kugharamika zaidi katika hospitali za kibinafsi.