- 231 viewsDuration: 4:03Mgomo wa wauguzi umeingia siku ya nne hii leo huko Mombasa ambapo wagonjwa wanaendelea kutaabika kupata matibabu katika hospitali ya makadara huku wengine wakilazimika kuondoka. waliosalia ndani ya hospitali wakitaka wauguzi kulegeza kamba na kurejea kazini kwani baadhi ya watoto bado hawajapokea chanjo ya polio tangu mgomo uanze.