4 Aug 2026 1:14 pm | Citizen TV 124 views Duration: 1:59 Huduma za afya katika Kaunti ya Murang'a zilitatizwa kwa muda Jumatatu baada ya wauguzi kujiunga na mgomo wa kitaifa ulioitishwa na Chama cha Kitaifa cha Wauguzi na Wakunga.