7 Oct 2026 10:48 am | Citizen TV 351 views Duration: 1:31 mhisani mmoja amewasaidia kina mama ambao walikuwa wamezuliwa kwa zaidi ya wiki tatu kwa kulemewa na malipo katika hospitali ya umma ya Kirwara level 4 iliyoko eneo Bunge la Gatanga, Kaunti ya Murang'a .