Skip to main content
Skip to main content

Miaka 20 baadaye, Harun arejea katika maisha ya kawaida

  • | Citizen TV
    5,774 views
    Duration: 3:20
    Disemba mwaka jana tulikuletea simulizi ya Harun Ngarariga kutoka Kinangop, Kaunti ya Nyandarua, ambaye aliishi kwa maumivu makali kwa zaidi ya miaka 20 baada ya ajali kuharibu uti wa mgongo wake. Alishindwa kukaa na kutembea vizuri. Leo tunarejelea simulizi yake, safari hii akiwa ameanza kurejea katika maisha ya kawaida na kufanya mambo ambayo hapo awali hakuweza kuyafanya. Brenda Wanga anaripoti.