- 125 viewsDuration: 38sMiamba wa michezo ya kitaifa kwa shule za upili wanaendelea kufanya vyema kwenye mashindano ya kitaifa ya muhula wa pili yanayoendelea mjini Thika. mchezo wa basketboli umekuwa na msisimuko huku timu zikiwinda nafasi za nusu fainali.