- 290 viewsDuration: 3:43Huku utabiri wa mvua kubwa ya El Niño ukiendelea kuibua hofu ya mafuriko na kuenea kwa magonjwa yanayotokana na maji machafu, mifumo endelevu ya maji safi na majitaka inatajwa kuwa muhimu katika kulinda afya ya jamii na mazingira. Mradi wa Kenya wa usambazaji endelevu wa Maji na Usafi wa Mazingira katika Miji, unaendelea kuboresha huduma hizi mijini.