Skip to main content
Skip to main content

Migogoro ya ardhi Pwani yatajwa kuwa kizingiti cha uwekezaji

  • | Citizen TV
    356 views
    Duration: 1:58
    Chama cha wajenzi wa kibinafsi kimetaka serikali za kaunti kutoka pwani pamoja na serikali kuu kushughulikia mizozo ya umiliki wa ardhi wakisema ndio changamoto kuu katika uwekezaji na kukua kwa miji.