Skip to main content
Skip to main content

Migori yazindua maonyesho ya vipaji kuimarisha nidhamu shuleni

  • | Citizen TV
    111 views
    Duration: 2:02
    Wadau katika sekta ya elimu katika kaunti ya Migori wamezindua maonyesho ya vipaji miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili kama njia ya kuimarisha utangamano na kukomesha vitendo vya utovu wa nidhamu shuleni.