Skip to main content
Skip to main content

Miili mingine miwili yaondolewa kwenye jengo lililoporomoka Ole Nairi Kajiado Kaskazini

  • | Citizen TV
    448 views
    Duration: 1:51
    Milli mingine miwili imeopolewa kutoka kwenye vifusi vya jengo la ghorofa nane lililoporomoka katika eneo la Olenairi, Oloolua kajiado Kaskazini na kufikisha idadi ya waliopatikana kuwa watatu huku shughuli za uokoaji zikiingia siku ya tano.