- 6,260 viewsDuration: 2:36Miili saba iliyopatikana imezikwa eneo la Mwingi, kaunti ya Kitui, imesafirishwa hadi Makafani ya City hapa jijini Nairobi. Miili hiyo ilisafirishwa usiku wa manane huku shughuli ya kuitambua ikitarajiwa kuanza wiki hii. Maswali sasa yakiibuka kuhusu watu hao ni kina nani na miili yao ilifika vipi Mwingi.