5 Oct 2026 1:16 pm | Citizen TV 1,379 views Duration: 2:07 Miili tisa kati ya 17 ya watu walioaga dunia katika ajali ya barabarani huko salama kaunti ya makueni imewasilishwa mombasa kwa matayarisho ya mazishi.