29 May 2026 1:41 pm | Citizen TV 856 views Duration: 2:01 Hofu yaendelea kutanda miongoni mwa wakazi wa Rwegetha katika Eneobunge la Gatanga Kaunti ya Murang’a, kufuatia kupatikana kwa mili ya watoto watatu wasiojulikana ndani ya mto Kiama katika matukio tofauti.