22 Apr 2026 1:47 pm | Citizen TV 506 views Duration: 1:49 Kamati ya Usalama Ukanda wa Pwani ikiongozwa na Kamishna wa Ukanda wa Pwani Rhoda Onyancha imetoa onyo kali kwa wanyakuzi wa mashamba ya watu katika kaunti ya Lamu.