Chama cha maseneta wanawake nchini kimekutana katika Kaunti ya Busia kuendeleza juhudi za kupunguza mimba za utotoni na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Hata hivyo, juhudi hizo zimeelezwa kukumbwa na changamoto kuu tatu: mimba za vijana, unyanyasaji wa kingono na kijinsia (SGBV), pamoja na kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi miongoni mwa vijana na wanawake vijana.
Kwa mujibu wa takwimu za NSDCC za mwaka 2024, visa 4,400 vya mimba za vijana viliripotiwa katika Kaunti ya Busia pekee, hali ambayo imeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wadau wa afya na elimu. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews