Skip to main content
Skip to main content

Mimba za utotoni zachangia vifo vya akina mama na watoto Tana River

  • | Citizen TV
    189 views
    Duration: 1:50
    Mimba za utotoni zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu kuu zinazochangia kuongezeka kwa vifo vya akina mama na watoto wakati wa kujifungua katika Tana River County. Wadau wa afya wanasema kuna haja ya kuimarisha elimu ya afya ya uzazi, kuongeza upatikanaji wa huduma za afya na kuhamasisha jamii ili kupunguza visa vya mimba za utotoni na kuboresha afya ya mama na mtoto.