Skip to main content
Skip to main content

Mimba za utotoni zaripotiwa kuongezeka kaunti ya Makueni

  • | Citizen TV
    340 views
    Duration: 2:44
    Mimba za utotoni zaripotiwa kuongezeka kaunti ya Makueni licha ya mikakati mbalimbali iliyowekwa kukabiliana na visa vya dhuluma za kijinsia.Kwa kipindi cha miezi mitano, wasichana 137 walio na umri wa kati ya miaka 10 na 14 wapachikwa mimba. Wadau wahofia kuwa utatuzi wa kesi hizo kinyumbani unachangia ongezeko la visa hivyo.