Skip to main content
Skip to main content

Mipango ya mazishi yaanza baada ya ajali ya Kibwezi kuua saba

  • | Citizen TV
    3,409 views
    Duration: 2:19
    Mipango ya mazishi imeanza kwa waathiriwa wa ajali ya barabarani eneo la Kibwezi Mashariki, Kaunti ya Makueni, kufuatia ajali iliyoua watu saba, wakiwemo watano waliokuwa wakihudhuria hafla ya mahari. Familia za waathiriwa zikitaja vifo vya jamaa zao kuwa pigo kubwa kwao. Michael Mutinda alitembelea familia hizi na kuandaa taarifa ifuatayo.