Ghasia zilizuka katika kanisa la SDA mjini Nyahururu kufuatia mzozo wa uongozi baina ya mirengo miwili ya waumini. Kulingana na Andrew Sang, ambaye ni kiongozi katika kanisa hilo, ghasia hizo zilitokana na tofauti zilizoibuka baada ya uhamisho wa mhubiri wa zamani aliyehamishwa hadi eneo jingine na bodi ya kanisa hilo. Mhubiri huyo na wafuasi wake wanadaiwa kupinga uamuzi huo wakisema haukufaa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive