- 19,370 viewsDuration: 3:01Baraza la madaktari nchini (KMPDC) limeanzisha uchunguzi huku likitoa onyo kwa watu waliodai kuponywa kwa miujiza ya kidini wakati wa mkutano wa muhubiri David Owuor. Baraza la KMPDC likisema kuwa madaktari walionaswa kwenye kisahicho cha uponyaji wa kimiujiza pia wakichunguzwa.