- 46,080 viewsDuration: 11:06Rais aliyeondolewa madarakani Venezula Nicolás Maduro na mke wake Cilia Flores wamefikishwa mahakamani jijini New York chini ya ulinzi mkali. Hatua hii inatokea siku mbili baada ya kukamatwa na wanajeshi wa Marekani. Wanakabiliwa na mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya na ugaidi New York. Katika Dira ya Dunia TV na Peter Mwangangi. #venezuela #maduro #bbcswahili #bbcswahilileo #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw