4 Jun 2026 1:34 pm | Citizen TV 1,178 views Duration: 1:46 Mama mmoja mjane katika kijiji cha Kwa Kazuri, eneo bunge la Kilifi North katika Kaunti ya Kilifi, analilia haki akidai kuwa kuna watu wenye ushawishi wanaotaka kunyakua shamba lake lenye zaidi ya ekari 80.