- 271 viewsDuration: 3:02Sasa itakuwa vigumu kwa Wakenya wanaolenga kuficha mali ya ufisadi katika mataifa mengine ya bara la Afrika. Hii ni kutokana na uzinduzi wa mkakati wa pamoja wa kusaidia kutambua na kurejesha mali zilizoibwa na kufichwa katika zaidi ya mataifa 45 barani Afrika. Mpango huu umepewa nguvu kufuatia uzinduzi wa kituo cha kwanza cha mafunzo na utafiti wa kupambana na ufisadi wa kisasa barani katika Nairobi.