Fanuel Mukoko amejishindia kwa mara ya pili kwenye Shabiki.com, mara hii akinyakua kitita cha shilingi 1,995,381. Hapo awali alijishindia shilingi milioni 1.3.Mukoko, mfanyakazi wa usafi kutoka Kawangware, Nairobi, anasema amekuwa akicheza kwenye Shabiki.com kwa muda na mbali na ushindi, anapata burudani kupitia jukwaa hilo.
Anakiri kuwa uvumilivu na umakini kwenye mchezo wa crash kulichangia ushindi wake wa hivi punde.Wakati uo huo, Shabiki.com imezindua kampeni mpya Sky Captain Challenge, inayowazawadia washindi wa shilingi elfu hamsini kwa pamoja kila siku na shilingi milioni moja kila wiki.