- 93,940 viewsDuration: 2:13Majeshi ya Marekani yalipofanya uvamizi wa usiku katika mji mkuu wa Venezuela, Caracas, walimkamata Rais Nicolás Maduro na mke wake kutoka makazi yake na kumsafirisha hadi New York . Lakini Cilia Flores ni nani, na kwa nini kukamatwa kwake kunazua mjadala mkubwa? - - @_phillys na taarifa zaidi: #bbcswahili #maduro #dawazakulevya #trump #venezuela #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw