31 Dec 2025 2:44 pm | Citizen TV 348 views Duration: 1:09 Mke wa naibu rais Kithure Kindiki, Dkt. Joyce Kithure amewasifu walezi wa watoto kwa kujitolea na kuwasaidia watoto kupata lishe, masomo na pia kuhakikisha maisha yao ya baadaye yanakuwa na manufaa