Skip to main content
Skip to main content

Mkulima mmoja wa mapapai Kaunti ya Elgeyo Marakwet analilia haki baada ya mapapai 700 kukatwa

  • | Citizen TV
    364 views
    Duration: 1:08
    Mkulima mmoja wa mapapai katika eneo la Emsea Kaunti ya Elgeyo Marakwet Benard Cherugut analilia haki baada ya mapapai yake takriban 700 kukatwa na watu wasiojulikana.