- 258 viewsDuration: 1:45Mkuu wa mawaziri ambaye pia ni waziri wa mambo ya kigeni, Musalia Mudavadi, asisitiza dhamira ya serikali ya kuimarisha taasisi za udhibiti nchini, akisema ndizo nguzo za kulinda imani ya wananchi, kuimarisha utawala bora na kukuza uchumi.