- 3,939 viewsDuration: 2:05Mlinzi aliyepatikana amefariki kwenye vifusi vya jumba lililoporomoka mtaani South C hapa nairobi amezikwa katika makaburi ya Lang'ata. Kulingana na uchunguzi wa maiti, marehemu Ali Adan Galgallo, alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuangukiwa na nyumba hilo la ghorofa 16. Haya yamejiri huku shughuli ya kumtafuta mlinzi mwengine ikiendelea kwa siku ya tano