Skip to main content
Skip to main content

Mlinzi wa katibu wa vijana na michezo Fikirini aachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    1,207 views
    Duration: 43s
    Mlinzi wa Katibu wa Vijana na Michezo, Fikirini Jacobs, Rashid Charo, ameachiliwa kwa dhamana ya pesa taslimu ya shilingi 20,000 huku wapelelezi wakiomba muda zaidi kukusanya ushahidi.