- 63,799 viewsDuration: 3:51Mlinzi wa Hayati Raila Odinga, Maurice Ogeta amesimulia jinsi hayati Raila Odinga alivyoponea kifo mara kadhaa kutokana na juhudi zake za kutetea haki za raia wa kawaida na kukosoa uongozi wa serikali mbalimbali. Aidha, Ogeta alizungumza na mwanahabari wa Runinga ya Citizen Seth Olale na kumuelezea kuhusu uhusiano wake wa karibu na mwajiri wake.