- 88,357 viewsDuration: 3:32Mlinzi wa marehemu Raila Odinga Maurice Ogeta alifungua roho kwa mara ya kwanza mwishoni mwa juma akieleza safari yake kando ya mtu aliyekuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa nchini alipokuwa hai. Ogeta anasimulia jinsi waziri huyo mkuu wa zamani alivyoponea kifo mara kadhaa kwa kukwepa watu waliojihami na wasioj itambulisha. Seth Olale alikuwa na kikao na Maurice Ogeta, na hii ni sehemu ya mahojiano hayo yatakayorushwa kwa kina kwenye taarifa zetu za saa tatu usiku.