24 Aug 2026 10:42 am | Citizen TV 331 views Duration: 1:02 Mbunge wa Mugirango Magharibi Stephen Mogaka amewaomba Wakenya kudumisha amani msimu huu wa kampeni na katika uchaguzi mkuu ujao.