Skip to main content
Skip to main content

Mohamed Osman na kampuni ya FATZAM enterprises watuhumiwa

  • | Citizen TV
    1,878 views
    Duration: 48s
    Mshukiwa Mohamed Osman Abdille na kampuni ya Fatzam Enterprises Limited wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkuu Kennedy Bidali katika Mahakama ya Makadara kwa siku ya kwanza ya kusikilizwa kwa kesi inayowakabili.