Skip to main content
Skip to main content

Mohamed Warsame ateuliwa jaji wa mahakama ya juu

  • | KBC Video
    225 views
    Duration: 2:38
    Shughuli ya kuwasaili wawaniaji wa wadhifa wa jaji wa mahakama ya juu ilifikia tamati leo huku majajiFrancis Tuiyott na Mohammed Warsame wakitetea ufaafu wao mbele ya tume ya huduma za mahakama. Majaji hao walisema kuwa endapo watateuliwa kwa wadhifa huo, watatafuta suluhu za humu nyumbani kwa changamoto zinazozingira idara ya mahakama. Walisema wako tayari kuchunguzwa wakati wanapohudumu. Tume hiyo pia iliwahoji kuhusu suala la kushushwa cheo ikizingatiwa kuwa wadhifa huo ni wa hadhi ya chini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive