Skip to main content
Skip to main content

Mombasa United, Kariobangi Sharks kukutana katika mchujo wa KPL

  • | Citizen TV
    3,950 views
    Duration: 1:33
    Timu ya Mombasa United kutoka Pwani itamkaribisha Kariobangi Sharks kesho alasiri katika mkondo wa kwanza wa mchujo wa kutafuta nafasi katika Ligi Kuu ya Kenya (KPL). Baada ya karibu miezi mitatu ya mvutano, Shirikisho la Soka la Kenya lilibadilisha msimamo wake wa awali wa kutofanyika kwa mechi za mchujo na kufuata maagizo ya mahakama ya kuanzisha ligi chini ya sheria za FKF za mwaka 2019.