1 Oct 2026 7:54 pm | Citizen TV 976 views Duration: 1:08 Timu ya Mombasa United imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kariobangi Sharks katika mchujo wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL), kwenye mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezwa katika Uwanja wa Mbaraki, Mombasa.