Skip to main content
Skip to main content

Mombasa yashuhudia maandamano ya amani

  • | Citizen TV
    959 views
    Duration: 2:42
    Kaunti ya Mombasa ilishuhudia maandamano ya amani ambapo waandamanaji walianza shughuli zao kwa ibada ya kuwakumbuka waathiriwa wa ghasia za maandamano. Waandamanaji walishirikiana na maafisa wa polisi katika shughuli zilizofanyika huku usafiri na shughuli za biashara zikiendelea kama kawaida. Hali ya utulivu ilishuhudiwa katika maeneo mengi ya kaunti hiyo wakati wa shughuli za siku. Francis Mtalaki anarifu kutoka Mombasa.