Skip to main content
Skip to main content

Moto wateketeza maduka zaidi ya 30 katika soko la Kaplong

  • | Citizen TV
    5,111 views
    Duration: 1:41
    Wafanyabiashara katika soko la Kaplong, eneo bunge la Sotik, wanakadiria kupata hasara kubwa baada ya moto kuteketeza maduka zaidi ya 30 majira ya saa kumi na moja alfajiri. Chanzo cha moto huo hakijabainika, huku wafanyabiashara wakitoa wito kwa mamlaka kuharakisha uchunguzi na kuimarisha hatua za usalama ili kuzuia matukio kama hayo siku zijazo.