- 30,464 viewsDuration: 2:51Wamiliki wa zaidi ya magari 50 ya kifahari katika eneo la Kilimani, Nairobi, wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuteketeza karakana tatu zilizokuwa zimeegeshwa magari hayo. Kulingana na walioshuhudia tukio hilo, moto ulianza katika karakana moja saa tano jana usiku kabla ya kusambaa kwa kasi na kuteketeza karakana nyingine mbili.